Pages

Tuesday, 26 November 2013

TAARIFA KWA WAPENZI NA WASHABIKI WA ARAFA SANJARI

Arafa Sanjari yupo katika dimbwi/kazi nzito ya kuandaa album mpya ya Qaswida ambayo itawajia inshaallah kwa namna itakayowaridhisha kiujumbe, uimbaji,video nzuri, na hata ustadi wa shows. japo kuwa kazi ni kubwa, yenye changamoto tele na kubwa ni support kukosekana au ndogo, kupitia ngazi tofauti tofauti. 

Napenda kusema Allah atatia wepesi na tawfiiq hata kukamilika maazimia. Nimekuwa nikipata maombi na maswali kuhusu Album mpya na vipi kimya kimezidi mno? Jibu; Tuko pamoja naandaa na tutaendelea kupeana taarifa zaidi. Karibuni kwa ARAFA SANJARI.

1 comment:

  1. Inshallah mola akupe wepesi. Natafuta CD zako sijapata. Nifahamishe kuzipata

    ReplyDelete